KOMPYUTA NA MATUMIZI YAKE
UTANGULIZI Kompyuta ni nini? Vifaa vya Kompyuta kompyuta imagawanyika katika sehemu kuu mbili i.sehemu ya kompyuta inayoonekana na kushikika( Hardware ) ii.Sehemu ya komputa isiyo shikika ( Software ) Sampuli ya swali Mfumo wa kompyuta umeundwa na sehemu kuu ngapi? zitaje. Sehemu za kompyuta zinazo onekana na kushikika Kielelezo Mfumo wa compyuta Matu...