KOMPYUTA NA MATUMIZI YAKE
UTANGULIZI
Kompyuta ni nini?
Vifaa vya Kompyuta
kompyuta imagawanyika katika sehemu kuu mbili i.sehemu ya kompyuta inayoonekana na kushikika(Hardware)
ii.Sehemu ya komputa isiyo shikika (Software)
Sampuli ya swali
Mfumo wa kompyuta umeundwa na sehemu kuu ngapi? zitaje.
Sehemu za kompyuta zinazo onekana na kushikika
Kielelezo
Sampuli ya swali
Eleza kwa kifupi matumizi ya kompyuta katika ufundishaji na ujifunzaji.
kuwasha na kuzima Kompyuta
kuwasha
.......................Mwisho.....................
Comments
Post a Comment